Wedding Package
Chagua package kwa ajili ya sherehe yako ya harusi, Kitchen Part au Sendoff Kulingana na bajet yako. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye header na footer ya tuvuti hii
Zuchu Package
Tsh. 500,000/=
- Picha 100 ndani ya album
- Flashi ya GB16 ikiwa na video HD na Picha Softcopy
- Picha 2 zilizowekwa kwenye Flame size ya A4
Nandi Package
Tsh. 1,000,000/=
- Flat screen tatu 3 ukumbini
- Pre-wedding Picture na Video (Picha na video kabla ya ndoa)
- Picha 200, ndani ya album ya mbao
- Picha mbili za Frame size ya A4
- Falsh ya GB16, ikiwa na video HD na softcopy ya picha zako 200
Diamondi Package
Tsh. 1,500,000/=
- Flat screen nne 4 ukumbini
- Drone Camera
- Pre-wedding Picture na Video (Picha na video kabla ya ndoa)
- Picha 200, ndani ya album ya mbao
- Picha mbili za Frame size ya A3
- Falsh ya GB16, ikiwa na video HD na softcopy ya picha zako 200