ONE STOP
- Graphics Designing
- Printing
- Branding
- Marketing
- Video shooting
- Live streaming
- Learning Graphics
Ni kampuni ya kitanzania inayotoa huduma za Graphics designing, Printing, Branding, Marketing, Video shooting, Live streming kwenye matukio mbalimbali na Training kwa wanaotaka kujifunza Graphics Designing kwa kutumia Software za
Ps, AI, Pr, Ae, Id, Cinema 4D
Tunatengeneza matangazo ya video kwa ajili ya biashara, Matamasha, Mikutano, Sherehe nk…
Tunatoa mafunzo ya graphics designing kwa wanaotaka kujifunza graphics designing
Kwa kutumia software kama vile Adobephotoshop, Illustrator, indesign, Premier pro, After effect & Cinema 4D
Tunatoa huduma za kuprint mabango makubwa, Sticker, Vitabu vya Biashara (Invoice, Proformer, Proformer invoice, Receipt), Tunaprint T-shirt, Vikombe,Kadi za Harua, Business Card, Posters
Tunatoa huduma za kudesign posters na matanganzo ya video kwa ajili ya bisahara yako
Au Poster za kutangaza tamasha au Mikutano mbalimbali nk…
Tunatoa huduma za live streaming kwenye matukio mbalimbali kama vile Masherehe,Mikutano, Matamasha nk
Tunatoa huduma za kushoot video kwenye sherehe za Harusi, Sendoff, Kitchen part, Tunashoot video za kwa kwaya, Vikundi…Chagua package yako sasa
Follow whatsapp channel yetu kwa update zaidi
Kuatana na Motoka Joctan, Freelencer Graphics Designer
Motoka Joctan ni moja ya Graphics designer na kiongozi hapa epenq mwenye uzoefu katika tasinia ya graphics designing, Branding na Marketting kwa miaka 6, nimefanikiwa kufanya kazi na Tasisi, kampuni, vikundi na watu binafsi na kuwasaidia kufanikisha malengo yao kupitia huduma za designing, printing, Branding na Marketing ni zamu yako na wewe Karibu sana
Ninauzofu wa kutumia software zifutazor
Ofisi zetu zinapatikana Posta, mtaa wa zanaki, jirani na super market ya 24 Star.
Na kwa Gongo la mboto Tunapatikana Mzambarauni jirani na Kitonka Medical Hospital
Kwa Mikoani tunafanya delivery kwa uaminifu mkubwa sana
Ofisi zetu zipo wazi, kwa siku ya Jumapili hadi Ijumaa kuanzia saa Moja asubuhi hadi saa Tatu usiku na siku ya ijumaa tunafunga saa kumi na moja Jioni
Sunday – Thursday
Friday –