Karibu Tujifunze Graphics Pamoja
Hapa Epenq Tunazo kozi kadhaa, kwa ajili yako wewe unayetamani kujifunza graphics Designing kwa kutumia software za Cinema 4D, Adobe illustrator, Adobe photoshop, Adobe indesign, na Adobe premier pro . Tutakuongoza hatua kwa hatua na kuhakisha unatoaka hatua ya kuwa beginer hadi kuwa professional designer. Kwa maelezo zaidi juu ya Course hizi tembelea postpage yetu utaona makala kuhusiana na course husika
Tembelea Youtube channel Yetu kuona video mbalimbali kuhusiana na Graphics Designing