TENGENEZA TANGAZO LA VIDEO NA SISI
Tunatoa huduma ya kutengeneza matangazo ya video (Video Clips) za Biashara, Mikutano ya injili au siasa, Matamasha ya mziki, Lyric za nyimbo. Mifano ya kazi zetu zinapatikana katika ukurasa wetu wa instagram ya (officialepenq) na ukurasa wetu wa Youtube. Link za account zetu zipo kwenye header na Footer ya website Yetu (@epenq)
Gharama zetu, tunatoza Tsh.1,000 tu kwa kila Sekunde ya Video