epenq

Designer-akidesign-banner-ya-makambi-2024-epenq-2

Design Bango au Sticker na EPENQ kwa punguzo la bei la 40% yaani Tsh 60,000/= tu

Tunao graphics designers waliyo bobea katika ubunifu na wenye uzoefu wa muda mrefu katika tasinia ya Graphics designing 

Katika msimu huu wa makambi tunakudesignia Bango au Sticker kwa gharama ya Tsh 60,000/= na siyo tena 100,000/= kama ilivyo kuwa mwanzo

Weka oda yako ya kudesigniwa Bango au sticker

Banner-Bango-Sticker-Printing-EPENQ-2024

Print Bango au Sticker kwa Tsh 15,000/=

Tunaprint mabango kwa kutumia printer na Rangi zenye ubora wa hari ya juu

Print Bango au Sticker kwa gharama ya Tsh 15,000/= tu kwa square meter

Makambi ID -designed-epenq

Vitambulisho vya wahudumu wa kambi na wanakamati wa kambi.

Pata kitambulisho kwa gharama ID kwa Tsh 2,000/= wa kila kitambulisho

Hii gharama ni pamoja na designing, printing na ID Holder

Usipitwe na ofa hii mhimu weka oda yako sasa

Live-streaming-sherehe-makambi-mikutano-EPENQ

Live stream kambi lako kwa njia Youtube na Kurecord mahubiri Yote ya wakati wa makambi

Lifanye kambi lako liwafikia watu wengi zaidi waliyo Waadventista na wasiyo Waadventista kwa kulivestream mahubiri yanayohubiriwa wakati wa makambi

Hii haiishii tu kulive stream, lakini utaweza kuhifadhi kumbukumbu zitakazo wasidia washiriki wako kurejea kilichohubiriwa wakati wa makambi.

Sambamba na hilo tutakuandalia Flash za size 16 GB, zenye video na picha za mahubiri ya makambi zitazouzwa kwa washiriki kwa bei ya Tsh 10,000/= tu kwa kila Flash

Gharama za kulivestream ni Tsh 150,000/= tu kwa siku, ikiwa utalive stream kambi kwa muda wa wiki nzima na ikiwa utalivestream kwa siku moja Gharama ya siku moja ni Tsh 300,000/=

Poster Designs-Epenq

Tengeneza Poster za kambi lako kwa Gharama nafuu

Katika msimu huu wa makambi tutakudesignia poster moja kwa Tsh 10,000/= tu.

Na ikiwa utanunua package yetu ya Poster 10 (7 static poster na 3 Motion posters), ambayo ndani yake pia utapata nyongeza ya kudesigniwa ratiba ya makambi. Hii package inanunuliwa kwa Tsh 70,000 tu.  na kazi itakamilika ndani ya wiki moja

T-shirt Printing-makambi-epenq

Print wa T-shirt

Katika msimu huu w amakambi 2024 Tunakuprintia T-shirt Maalumu zenye ujumbe wa kambi 2024, kwa gharama ya Tsh 3,200/= kwa kila Tshirit

Tunapokea oda ya kuanzia T-shirt 50 na zaidi

Pia dukani kwetu tunazo T-shirt za round na Form six za brand tofaut tofauti, na ikiwa mteja atanunua T-shirt kwetu na kuprint kwetu, mteja atapatiwa T-shirt iliyo printiwa kwa Tsh 12,000 T-shirt za round na Tsh 14,000/= kwa T-shirt za T-shirt za Form Six

T-shirt zipo size zote na Rangi zote

Kazi tulizofanikiwa kufanya makambi mwaka jana (2023)

Kwa mwaka jana tumefanikikiwa kutengeneza banner ya

  • Makambi segerea sda 2023,
  • Makambi mtaa wa mzambarauni 2023,
  • Makambi KIVULE SDA  2023 Na
  • Makambi Segerea Nursery and Primary School 2023

 

Kwa nini Uchaguwe Sisi

Watalamu waliyo bobea katika tasinia ya Graphics Designing na Printing kwa Muda mrefu sana

Tunakuahidi kukamilisha kazi yako ndani ya muda wa makubariano baina ya epenq na mteja wetu

Hapa epenq unapata huduma, kwa kuanzia gharama ya Tsh.5,000/= na kuendelea

Mteja kwetu sisi ni mfalme, atasikilizwa na kuhudumiwa kama mfalme

Tunazingatia maoni ya mteja wakati wa kufanya kazi

Hata kama huna pesa au una bajeti pungufu bado unaweza fanya kazi na epenq na kulipia kidogo kidogo

Haujachelewa bado, kazi yako  tunaweza kuifanya na kuimilisha ndani ya wakati

Usikose ofa hizi maalum kwa Makambi ya Wasabato 2024! Wasiliana nasi leo kuweka oda zako na tufanye tukio lako likumbukwe.

N:B

  • Ofa hii ni kwa mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani,
  • Kwa wale waliyo nje ya mkoa wa Dar-es-salaam watachingia gharama ndogo ya Usafiri

Usisite kutupigia Simu +25516618918 kwa maelezo zaidi

Scroll to Top
Open chat
Hello
Huduma gani unahitaji?