Embroidering
Tunatoa huduma za embroidering za mashart T-shirts
Gharama zetu zinategemean a na idadi ya Mashart au T-shirt alizo nazo mteja na Aina ya art work ya mteja kwa maana ya ukubwa wa art work na idadi ya rangi kwenye artwork yake.
Lakini ghrama zetu za chini ni kuanzia Tsh 5,000/= kwa T-shirt au shati na Order ya chini tunapokea T-shirt au shati 10 na kuendelea
Digital Printing
Hapa Epenq, tunajivunia kutoa huduma bora za digital printing kwa wateja wetu, bila kujali ukubwa wa biashara yako au aina ya mradi wako.
Tunatoa huduma mbalimbali kama uchapishaji wa karatasi za ofisi, mabango, poster, Business card, vifaa vya matangazo, picha za kumbukumbu, na vitabu. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, tunahakikisha ubora wa juu, kasi ya utoaji, na bei zinazofaa kwa bajeti yako.
Tunatoa uchapishaji wa haraka na wa ubora wa juu, kuhakikisha kuwa kazi zako zinaletwa kwa wakati na kwa kiwango cha juu zaidi. Wasiliana nasi leo ili kujua jinsi tunavyoweza kusaidia kuboresha biashara yako au kufanya matukio yako kuwa ya kipekee kwa huduma zetu za digital printing.
Offset Printing
Tunatoa huduma za offset printing za ubora wa juu kwa vitabu vya kibiashara kama vile receipt books, invoice books, proforma invoices, cash sales receipts, na vingine vingi. Huduma zetu ni za haraka, za ubora wa juu, na tunatoa bei rafiki kwa wateja wetu.
Aina za Vitabu Tunavyochapisha:
- Receipt Books
- Invoice Books
- Proforma Invoices
- Cash Sales Receipts
- Purchase Orders & Delivery Notes
- Statements & Ledger Books
Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya offset printing, tunahakikisha ubora, usahihi, na uimara wa kila kitabu. Tunatoa pia huduma za design na customization ili kukidhi mahitaji maalum ya biashara yako.
Screen Printing
Tunatoa huduma za screen printing za ubora kwa T-shirt, jezi za mpira, mifuko na bidhaa mbalimbali.
Tunachapisha kwa ufanisi na ubora wa juu kwa matumizi ya biashara, matukio maalum, na timu za michezo.
DTF Printing
Tunatoa huduma za ubora wa juu za DTF Printing kwa michoro mbalimbali kama nembo, picha za kibinafsi, na artwork za kipekee. Pata matokeo ya rangi angavu, yanayodumu, na huduma ya haraka na rahisi kwa bidhaa zako.
Pen & Flash Printing
Tunatoa huduma za uchapishaji wa kipekee kwa bidhaa mbalimbali ili kutimiza mahitaji yako kwa usahihi. Tunachapisha karamu (mugs), flash drives (USB), notebook, T-shirts, kalamu, mabegi, na vifaa vingine kwa ubunifu unaofaa bajeti yako. Kila kitu kinaweza kuboreshwa kulingana na matakwa yako, na timu yetu yenye uzoefu inahakikisha unapata bidhaa za kibinafsi zinazovutia na zenye ubora wa juu.
Gharama zetu zinategemeana na ain aya karamu au Flash, ila kwa ujumla tunacharge Tsh 2000/= kw akila pen (pen juu yetu, anepewa ikiwa tayari imeprintiwa)
Minimun order ni pen 100
Tear drop Printing
Unahitaji bendera za tear drop za kipekee kwa hafla yako, maonyesho, au matangazo? Sisi ndio suluhisho lako bora! Tunatoa bendera za tear drop za ubora wa juu, printing ya picha na logo kwa ufanisi, huduma za haraka na zenye gharama nafuu, pamoja na vipimo na rangi zote zinazolingana na mahitaji yako. Tuna bendera za tear drop zinazofaa kwa kila tukio, kutoka kwa maonyesho ya biashara hadi matangazo ya nje! Wasiliana nasi leo
Gharama zetu ni kuanzia Tsh 80,000/= kwa tear drop moja (Designing, Printing na Stend)
PVC ID & ID Holder
Unatafuta huduma ya kuprint kadi za utambulisho (ID Card) za ubora wa hali ya juu? Sisi tunatoa huduma ya kuprint ID Card za kawaida na PVC, ambazo ni za kudumu, sugu kwa maji, na zenye muonekano wa kuvutia kwa gharama nafuu. Tunatoa huduma ya kuprint ID Card za kawaida, PVC, na ubunifu maalum kwa kampuni, shule, na mashirika kwa ubora wa picha na maandishi ya hali ya juu. Kwa nini utuchague? Huduma yetu ni ya haraka na bora, bei ni nafuu na kuna punguzo kwa oda nyingi
Gharama zetu ni kuanzia Tsh 5,000/= kwa ID moja
Order yetu ya chini ni ID tano
Tunaprint mabango Makubwa (Larger Formart)
Unahitaji bango kubwa kwa ajili ya biashara yako, hafla, au tukio maalum? Tumekusogezea huduma za Larger Format Printing kwa ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, na bei zinaanzia TZS 10,000 tu! Tunatoa mabango ya ukubwa wowote unahitaji, na ubora wa picha na rangi angavu. Tafadhali wasiliana nasi leo
Promotion Tent
Je, unahitaji cover ya kisasa na inayoendana na biashara yako kwa ajili ya matangazo? Tunatoa huduma kamili ya kubuni na kuchapisha cover za tents za matangazo, ili kuleta mvuto na ufanisi katika promosheni zako! Tunaunda design za kipevu na za kisasa zinazojitokeza, na tunatumia teknolojia bora ya uchapaji kwa matokeo bora, huku tukihakikisha ubora wa juu na printing inayodumu na inaonekana wazi hata kutoka mbali
Cutting plotter
Tunatoa huduma bora za plotter cutting kwa printed artwork mbalimbali, ikiwa ni pamoja na michoro, picha, nembo, na maandiko. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, tunahakikisha kila kipengele cha sanaa yako kinachongwa kwa usahihi na ufanisi wa hali ya juu. Huduma zetu ni pamoja na plotter cutting kwa michoro ya kisanii, uchoraji wa picha kwenye nyenzo mbalimbali, na usahihi wa kukata wa kipekee. Tunajivunia kutoa huduma ya haraka, ya kuaminika, na kwa bei nafuu.
Gharama zetu ni kuanzia Tsh 20,000/= kwa squire meter (Printing and Cutting)
Tunadesign na Kuprint cover za vitabu na vitabu
Tunatoa huduma kamili kwa waandishi, wachapishaji, na wapenzi wa vitabu! Ikiwa unahitaji kupangilia kurasa za kitabu chako kwa umakini wa kipekee, kubuni kava vinavyovutia macho na kuibua hisia, au uchapishaji wa vitabu vyenye ubora wa juu kwa bei nafuu, sisi ndio suluhisho lako. Tunajivunia kutoa huduma za kitaalamu kwa haraka, huku tukizingatia kila undani ili kuhakikisha matokeo bora zaidi. Hakikisha wazo lako linakuwa halisi kwa muundo wa kisasa na wa kuvutia.
Rollup Banner
Tunatoa huduma za kudesign na kuprint Rollup Banner kwa ubora wa juu! Tunabuni Rollup Banner ambazo ni attractive na zinazovutia wateja wako, na pia tunachapisha kwa kutumia vifaa vya kisasa ili kuhakikisha banner zako zinadumu kwa muda mrefu. Tunatoa huduma kwa haraka ili biashara yako iweze kuonekana kwa urahisi.
Gharama zetu ni kuanzia Tsh 130,000/= (Designing, Printing na Flame yake)
Tunaprint Bendera
Tunatoa huduma bora za kuprinta bendera za aina mbalimbali kwa biashara, mashirika, na watu binafsi, ikiwa ni pamoja na bendera za ukubwa tofauti, kuprinta rangi kamili na ubora wa picha, na bendera zinazodumu na zinazohimili hali ya hewa. Ikiwa unahitaji bendera kwa matukio, matangazo ya biashara, au matumizi ya kibinafsi, sisi ndio suluhisho lako! Tunatoa huduma ya haraka na ya kutegemewa kwa bei nafuu na ubora wa kipekee. Wasiliana nasi leo ili upate bendera yako!