Design Bango au Sticker na EPENQ kwa punguzo la bei la 40% yaani Tsh 60,000/= tu
Tunao graphics designers waliyo bobea katika ubunifu na wenye uzoefu wa muda mrefu katika tasinia ya Graphics designing
Katika msimu huu wa makambi tunakudesignia Bango au Sticker kwa gharama ya Tsh 60,000/= na siyo tena 100,000/= kama ilivyo kuwa mwanzo
Weka oda yako ya kudesigniwa Bango au sticker
Print Bango au Sticker kwa Tsh 15,000/=
Tunaprint mabango kwa kutumia printer na Rangi zenye ubora wa hari ya juu
Print Bango au Sticker kwa gharama ya Tsh 15,000/= tu kwa square meter
Vitambulisho vya wahudumu wa kambi na wanakamati wa kambi.
Pata kitambulisho kwa gharama ID kwa Tsh 2,000/= wa kila kitambulisho
Hii gharama ni pamoja na designing, printing na ID Holder
Usipitwe na ofa hii mhimu weka oda yako sasa
Live stream kambi lako kwa njia Youtube na Kurecord mahubiri Yote ya wakati wa makambi
Lifanye kambi lako liwafikia watu wengi zaidi waliyo Waadventista na wasiyo Waadventista kwa kulivestream mahubiri yanayohubiriwa wakati wa makambi
Hii haiishii tu kulive stream, lakini utaweza kuhifadhi kumbukumbu zitakazo wasidia washiriki wako kurejea kilichohubiriwa wakati wa makambi.
Sambamba na hilo tutakuandalia Flash za size 16 GB, zenye video na picha za mahubiri ya makambi zitazouzwa kwa washiriki kwa bei ya Tsh 10,000/= tu kwa kila Flash
Gharama za kulivestream ni Tsh 150,000/= tu kwa siku, ikiwa utalive stream kambi kwa muda wa wiki nzima na ikiwa utalivestream kwa siku moja Gharama ya siku moja ni Tsh 300,000/=
Tengeneza Poster za kambi lako kwa Gharama nafuu
Katika msimu huu wa makambi tutakudesignia poster moja kwa Tsh 10,000/= tu.
Na ikiwa utanunua package yetu ya Poster 10 (7 static poster na 3 Motion posters), ambayo ndani yake pia utapata nyongeza ya kudesigniwa ratiba ya makambi. Hii package inanunuliwa kwa Tsh 70,000 tu. na kazi itakamilika ndani ya wiki moja
Print wa T-shirt
Katika msimu huu w amakambi 2024 Tunakuprintia T-shirt Maalumu zenye ujumbe wa kambi 2024, kwa gharama ya Tsh 3,200/= kwa kila Tshirit
Tunapokea oda ya kuanzia T-shirt 50 na zaidi
Pia dukani kwetu tunazo T-shirt za round na Form six za brand tofaut tofauti, na ikiwa mteja atanunua T-shirt kwetu na kuprint kwetu, mteja atapatiwa T-shirt iliyo printiwa kwa Tsh 12,000 T-shirt za round na Tsh 14,000/= kwa T-shirt za T-shirt za Form Six
T-shirt zipo size zote na Rangi zote
Kazi tulizofanikiwa kufanya makambi mwaka jana (2023)
Kwa mwaka jana tumefanikikiwa kutengeneza banner ya
- Makambi segerea sda 2023,
- Makambi mtaa wa mzambarauni 2023,
- Makambi KIVULE SDA 2023 Na
- Makambi Segerea Nursery and Primary School 2023
Kwa nini Uchaguwe Sisi
Watalamu waliyo bobea katika tasinia ya Graphics Designing na Printing kwa Muda mrefu sana
Tunakuahidi kukamilisha kazi yako ndani ya muda wa makubariano baina ya epenq na mteja wetu
Hapa epenq unapata huduma, kwa kuanzia gharama ya Tsh.5,000/= na kuendelea
Mteja kwetu sisi ni mfalme, atasikilizwa na kuhudumiwa kama mfalme
Tunazingatia maoni ya mteja wakati wa kufanya kazi
Hata kama huna pesa au una bajeti pungufu bado unaweza fanya kazi na epenq na kulipia kidogo kidogo
Haujachelewa bado, kazi yako tunaweza kuifanya na kuimilisha ndani ya wakati
Usikose ofa hizi maalum kwa Makambi ya Wasabato 2024! Wasiliana nasi leo kuweka oda zako na tufanye tukio lako likumbukwe.
N:B
- Ofa hii ni kwa mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani,
- Kwa wale waliyo nje ya mkoa wa Dar-es-salaam watachingia gharama ndogo ya Usafiri
Usisite kutupigia Simu +25516618918 kwa maelezo zaidi